Skip to content

Commit c8f60da

Browse files
committed
Merge conference page content into events page and remove conference page (Swahili)
1 parent 117f4c2 commit c8f60da

File tree

2 files changed

+78
-1
lines changed

2 files changed

+78
-1
lines changed

_articles/sw/events.md

Lines changed: 77 additions & 0 deletions
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -7,3 +7,80 @@ title: Matukio
77
## Kahawa na Code
88

99
Jiunge nasi kila Ijumaa kwajili ya kikombe cha kahawa na uwezekano waku code na wanashauku wezeko wa Python. Jumuiya yetu iko wazi kwa ngazi zote za uzoefu, kuanzia wanao anza hadi wataalamu. Tutanzungumzia yale yote yaliyo jiri hivi karibuni kwenye usanidi wa Python, tuki shirikiana kwenye mbinu na ujanja, na kufanya kazi kwenye miradi pamoj. Iwe unataka kujifunza kitu kipya au unataka kuwa karibu na watu wenye maoni sawa, hii ndiyo fursa sahihi kufanya hivyo.Tunatanzamia kukutana na wewe hapa.
10+
11+
---
12+
13+
# Mikutano
14+
15+
Black Python Devs ina lengo la kushirikiana na mikutano ya Python ulimwenguni kote ili kuongeza muonekano na fursa kwa viongozi Weusi kwenye jumuiya ya Python. Tunaelewa kuwa wakati unaweka kila mmoja aliyehitimu kwenye jukwaa na katika mikutano, huwa inaongeza thamani yao na fursa za kuajiriwa.
16+
17+
<!--
18+
Kuongeza mkutano mojawapo ya yafuatayo yapaswa kufuatiliwa
19+
20+
1. Mwanachama wa Black Python Dev yapaswa awe anaongea kwenye huo mkutano
21+
2. Huo mkutano unapaswa kuwa na programu iliyoanzishwa kuwezesha watu Weusi na Jumuiya Kihistoria Zilizotengwa kuchangia.
22+
23+
Mfano
24+
-----
25+
26+
## JINA LA MKUTANO (TAREHE), Mji, Maeneo, Nchi
27+
28+
SENTENSI MOJA YA UFAFANUZI WA HUO MKUTANO. Hakikisha kuweka uhusiano-wa-tovuti mkutano wenyewe.
29+
30+
### Kuongea
31+
- MTU - HOTUBA au JINA LA JUKUMU
32+
---
33+
-->
34+
35+
Haya ndiyo baadhi ya mikutano yanyojia yaliyokaziwa ambapo unaweza patana na Black Python Developers wakihusika kwenye jukwaa au nyuma ya pazia
36+
37+
## DjangoCon US (16-20 Oktoba 2023) - Durham, NC, USA
38+
39+
[DjangoCon US](https://2023.djangocon.us/) ni mkutano wa kimataifa wa siku-tano ya jumuiya kwa wanajumuiya kuhusu muundo-mbingu wa mtandao wa Django, inayofanywa kila mwaka Amerika Kaskazini.
40+
41+
### Wanaongea:
42+
43+
- Dawn Wages - Dhibitisha Python yako na Mazingira ya Usanidi wa Django kwa VS Code na Dev Containers
44+
- Kojo Idrissa - Maelekezo/Karibisho & Makao ya Hutoba Fupi-fupi
45+
- Abigail Mesrenyame Dogbe - Hutoba ya Msingi: Kupata Kusudi katika Programu Huria Kupitia Ujenzi wa Jumuiya
46+
- Velda Kiara - Ujenzi wa APIs za Milio Dhabiti kwa Django, Django Rest Framework, na OpenAPI
47+
- Felipe de Morais - AfroPython: Kutumia Django ili kubadilisha maisha ya watu weusi nchini Brazili
48+
- Abigail Afi Gbadago - Mbinu za kushughulikia mizozo na urudisho-nyuma wakati wa uhamisho wa hifadhidata ya Django
49+
- Victor Ogunjobi - Hamna Chetu, Bila Sisi; Kuvunja Kupendelea bila Fahamu katika Ujenzi wa Bidhaa
50+
- Jay Miller - Jopo la Mazungunzo: Nani aliniweka mamlakani? Kusonga Zaidi ya kuandika misimbo ya kila siku ndani ya Django
51+
52+
## DjangoCon Africa (6th - 11th Novemba 2023) - Zanzibar, Tanzania
53+
54+
DjangoCon Africa itakuwa na siku 3 ya hutoba za njia-moja, siku 2 za karakana na mbio, kupitia jumla ya waongeaji 27, na siku moja ya kuzuru kwa wageni wakimataifa. [Husiano-la-tovuti hapa](https://2023.djangocon.africa/news/announcing-djangocon-africa-2023/)
55+
56+
Hii tukio pia itatia ndani karakana ya Django Girls itakayofanywa mwisho-juma inayotangulia DjangoCon Africa. Ili kufanya huu mkutano uwe jumuishi iwezekanavyao, tukio litatoa msaada wa kifedha kwa washirika wa jumuiya walio na uwakilisho-mdogo ndani ya programu ya kompyuta ili kuhakikisha wao pia wanaweza kuhudhuria.
57+
58+
### Speaking
59+
60+
- Anna Makarudze - Kuwezesha Waliobaguliwa katika Jumuiya za Tekinologia na Kuendeleza Ujumuishi.
61+
- Atieno Ouma - Kuboresha Mtazamo wa Django Queryset Optimization kutumia Kanuni za DRY.
62+
- Brayan Kai Mwanyumba - Kuchochea Ujumuishi ndani ya Programu Huria: Fursa za Watu wanaoishi na Ulemavu.
63+
- Busola Marcus - Kutokeza Uwezekano wa Kufanyia Kazi Kutoka Nyumbani kwa Wataalamu wa Kiafafrika wa Tekinologia.
64+
- Chris Achinga - Karakana: Ujenzi wa APIs za Udhihirishaji kutumia Django.
65+
- Daniele Procida - Uvumbuzi Ulinganishi Kati ya Mziki, Progamu ya Kumpyuta, na Tamaduni za Kiafrika.
66+
- Dawn Wages - Uboreshaji wa Usanidi wa Python/Django kutumia Visual Studio Code's Dev Containers.
67+
- Eric Odhiambo - Uzingatio was Django Admin kutumia Typesense kwa Datasets Kubwa.
68+
- Eva Nanyonga - Umakinikaji wa Kujaribu API ndani ya Django.
69+
- Flavio Percoco - Kufikisha Mawazo Yako ya Programu ya Kompyuta kutumika Maishani.
70+
- Fuad Habib - Django: Kuwatia Nguvu Vijana Waafrika kwa Ujasiriamali na Kuchochea Ajira.
71+
- Honza Kral - Badili Mawazo ya Progamu za Kompyuta hadi Uhalisi: Mtazamo wa Mchangiaji Sugu wa Django.
72+
- Jon Atkinson - Kufikiriaupya Wingu kama Chagua la Msingi: Uvumbuzi wa Njia Rahisi za Utumiaji.
73+
- Joseph Adediji - Kutokeza Uwezekano Kamili wa Django's Management Commands yenye Uumbaji wa Ubunifu.
74+
- Joseph Sowah - Karakana: Ujenzi, Utumiaji, na Mashine za Kujiendesha za Django kwenye Wingu za Miundombingu.
75+
- Kojo Idrissa - Hotuba ya Msingi: Mielezo ya Ulimwenguni katika Kutatua Matatizo.
76+
- Lidya Tilahun - E-Farming: Kusukuma Mbele kwa Mapendekezo ya Wakulima wa Vijijini kupitia Kilimo ya Dijitali.
77+
- Mariam Muhammed - Kuzidisha Utendaji wa Django kutumia Mikakati ya Kuhifadhi-kwa-muda-mfupi.
78+
- Mariusz Felisiak - Uvumbuzi wa Kina za Django ORM Lookups.
79+
- Omotola Omotayo - Kupekua Njia za Kazi-maisha katika Progamu-Huria za Kompyuta: Mwono-ndani kutoka kwa Meneja wa Jumuiya ya Outreachy.
80+
- Robson Kanhalelo - Karakana: Ujenzi wa Progamu za Tovuti wa Wakati-huo-huo ya Data ya Angani kutumia Python na Django.
81+
- Ruth Ikegah - Fursa za Kazi-maisha ya Programu Huria: Njia kuelekea Mionekano Mapya.
82+
- Samweli Twesa Mwakisambwe - Kutumia Vifaa ya Progamu-Huria ya Python kwa Kupiga Taswira na Uchanganuzi wa Geospatial.
83+
- Sheena O'Connell - Kufainisha ili Mivurugo ya COVID pamoja na Django: Safari ya Umuzi.
84+
- Tahaa Farooq - Kujenga Vifaa vya Usalama kutumia Django: Programu ya Tovuti ya Uchunguzi wa Usalama.
85+
- Victor Jotham Ashioya - Karakana: Uwekeshaji wa Miundo ya Machine Learning kutumia Django.
86+
- Vuyisile Ndlovu - Utudhibitishaji wa Debugging: Njia za Utaratibu na Vifaa vya Python kwa Wasanidi.

_data/locales/sw.yml

Lines changed: 1 addition & 1 deletion
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -5,7 +5,7 @@ sw:
55
- Blog
66
- Kutuhusu
77
- Matukio
8-
- Mikutano
8+
# - Mikutano
99
- Jumuiya
1010
index:
1111
lead: Nyeusi kuliko formatter yako.

0 commit comments

Comments
 (0)